Usiwe mwepesi wa kulaumu

Hiyo barua ni very extreme mpaka najiuliza kama ndo sample halisi ya maombi mengi yanayokataliwa.

Pia na hao Sekretariati wasijikoshe maana na tangazo lao la kazi ni shida tupu.

Sekretarieti wasijikoshe, lakini uongo ukisemwa sana unakuwa ukweli na wana haki ya kujisafisha.

Mkuu makosa ya kufuata maelekezo ni mengi sana kwenye barua za maombi, kuanzia uambatanishaji wa nyaraka, muundo wa barua yenyewe, na wakati mwingine hata anuani.

Jamaa wanaoajiri wanazingatia kigezo kuwa kushindwa kufuata maelekezo madogo ya ukurasa mmoja ni udhaifu mkubwa kwa muombaji wa kazi na zaidi unaonesha kuwa hukuwa makini/ulipuuzia mchakato wao, kwanini wakuamini na kukupa kazi?

NB: Wametoa mfano extreme ili na sisi tuone ukubwa wa shida yenyewe, wangetoa kigezo cha kukosea anuani au kuambatanisha nyaraka ungesema wanakompliketi, mbona tatizo lenyewe dogo hilo?
 

Well said mkuu, but nliposimamia ni kwa huyu mjOmba rushwa na kubebana, kumbuka ukifanya research uwez kosa wa type iyo makazini ambao hawajui pia baadh ya vitu vya kazi yao, that is why makadirio yangu 1980's based on corruption na kubebana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…