kbmk
JF-Expert Member
- Feb 22, 2013
- 776
- 158
Kijana flani anapita karibu na mama ntilie kuleeee kigogo majira ya saa moja watu wanapata dinner mezani nje kweupe mambo ya dar biashara usiku mchana tunafunika meza. Gafla mdudu kaingia mdomoni mwa kijana akamtema mzee anafoka na kumfuata mzee pumbaf cc tunakula unatuchefua hapa mdudu kaingia puani kwa mzee looo nae kammeng'a na kutoa mapande ya makamasi fyuuuuuu fyuuu majamaa wengine mzee mpuuzi nini ebu peleka kule upuuz wako.........