Usitegemee kuninasa kwa kujibinua binua

STUNTER

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
13,076
17,246
Maisha yako yanaonekana yamebinuka-binuka tu
japokuwa huishi kujimegea pande na kujisadifu
kwamba wewe UNAFAA na ni Wife Material Mzuri
tu...Umekazana kuwaaminisha watu kwamba
wewe ni Almasi Mchangani sema tu
hatujakushtukia ingawa Matendo na Maisha yako yanatuaminisha kwamba wewe ni Kipande tu cha
Kokoto kilichoanguka kwenye Fuso inayoenda Site
Goba.
Kumjua mtu wala hakuhitaji Rocket Science wala
Epidemology, Ni rahisi tu...Kama ambavyo huwezi
kumkuta Paroko wa Parokia ya Msasani akikatika Viuno kwenye Show ya Baikoko ndivyo mdada
anayejiheshimu hawezi kuthubutu kukutwa na
Bwana Pepsi akifanya vitu fulani ambavyo
vitaharibu Image yake na watu kumfikiria
vibaya, its that Simple.Unaanzaje kumkuta Rose
Mushi amevaa Kipedo Transparent anakatiza mitaa ya IFM?? Haiwezekani
Picha zako kutwa ni za Kubinuka-binuka kama Lori
la mchanga, na sijui unamuonyesha nani Lenzi
mbinuko yako na kwa Aim gani kutugeuzia
matako, kila tendo lina target, unapobinuka lazima
una target, Cha ajabu Target wakinasa wakikufuata UNAWAKA.Unachukia nini na Umewaalika waje
kwenye Karamu ya Makalio?? Halafu unataka
Nikupe Moyo wangu ili na wenyewe Uubinue-
binue uanze kupump damu hovyo-hovyo
kichwani na Miguuni ili nife,THUBUTU!
Ukibinua Matako utaimpress wanaotaka Matako sio STUNTER ,The way You dress is the same way people will
address you..Ukikuta Mdada kavaa kimini Kona Bar
huwezi kusema yuleni muimba kwaya anasubiri
usafiri, unajua tu ILE NI CHAKULA YATAKA KULIWA
Dont Display your ASS,Please Display your BRAIN
and see if Serious People will not Invest in you.Msukuma nimemaliza!
 
hapo ndipo penyewe..utamkuta mdada amejibinua kama anaumwa uti wa mgongo eti target yake aninase thubutuuuu..utawabamba hao hao!!@
 
hapo ndipo penyewe..utamkuta mdada amejibinua kama anaumwa uti wa mgongo eti target yake aninase thubutuuuu..utawabamba hao hao!!@
Hahhaah mkuu hapo target wakuchune, wenyewe wanaita Danga... Huo msemo nauchukia, Siku demu nikimsikia ananiita Danga ntampasua
 
Back
Top Bottom