and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,116
Kisha apige nao picha sioBora uhonge mchepuko TU...Akuzalie mapacha
Apige picha wapi...Akawatambulishe kwa mkewe...Kisha apige nao picha sio
Bora Mcpilipili alijiolea MhayaWagogo na nyie mmezubaa Kama uji wa mgonjwa. Unaendaje Kuoa hao watu aisee
Uhayani nako Pana yake. Tena mazito pengine kushinda migombaniBora Mcpilipili alijiolea Mhaya
Akatoa na chozi akikumbuka pesa alizoliwa na Manka.
Wachaga ndio wanaitwa wapalestina..??Mgogo unaanzaje kuoa mchaga kwa mfano
Tena michepuko ya kerege inatoa twins, acha nipate connectionBora uhonge mchepuko TU...Akuzalie mapacha
Kabisa...omba connection Mkuu.Tena michepuko ya kerege inatoa twins ,acha nipate connection