Lady niece
JF-Expert Member
- Feb 18, 2014
- 953
- 414
hii ndio lugha gani bibie Lady niece ?
hiyo ni lugha ya usisubiri moto uwake ndipo ubandike chakula chako
wewe anza mapema ndipo chakula kitaufuatia na utaona matokeo yake
kwani utaona pishi limekolea nazi halafu ladha yake ni nzuri na ya kuvutia
Lady niece natamani kuelewa ulichoandika..
kwani bidada hujaelewa nini hapo juu
ngoja nikueleweshe kidogo
ninamaanisha kuwa watu wengi wanakuwa
tegemezi kwa wengine hivyo wanashindwa hata
kufanya yale wanayoweza kwa mikono yao
wanabaki kusubiri mpaka moto uwake ndipo
waone kuwa wameshachelewa kuweka pishi motoni
nadhani mpaka hapa umeshanielewa
Mwadela
Watu bhana kila kukicha wao wanasubiri moto huwake ndo waone mambo yako flesh
hawawezi kujiongoza na kujifanyia vile watakavyo, wanabaki kuwa tegemezi tu
wao hata kama wanapitia hali hovyo watabaki kujifariji pasipo kuchukua hatua ya:flypig:
wanashindwa kuelewa wako wakati gani wa kujitoa wao wanasubiri moto tuu
ukoleee ilihali ushakolea tena umeshaanza kutoa cheche za kuashiria :A S 465:
sasa unbaki unashangaa mpaka mto unazimika na wala hilo pishi halijakolea kabisa
unabaki kuduwaa wakati wenzako washawasha mkaa na mto ushapamba na
wanaona pishi likichemka huku moshi wa harua ukitoka ndani.
Rafiki kuwa mjanga usisubiri moto uwake ndo uone pishi kama limekolea nazi au la.
angalia usije :A S 13: ni hayo tu.
BUJIKU NG'WAKA
Waamshe
Kumbe wanahitaji kubustiwa, aiseeKaka bila chaji..!? Wataamka kweli ?
Kumbe wanahitaji kubustiwa, aisee
mtawa mwallu ukifanikiwa kuelewa, unialeweshe na mimi
uandishi na uwekaji wa hizo smilie kama ladyfurahia vile
binamu wewe unaakili
sana...yaani!japo anabisha mbaya wakumbe ile sread yake fulani
hivi....ndie yeye tu....!
binamu wewe unaakili sana...yaani!japo anabisha mbaya wakumbe ile sread yake fulani hivi....ndie yeye tu....!
mwallu nafikiria nilikuwa nae tulimkomalia mpaka akapanic....miandiko haidanganyi
binamu haina cha kuficha, ukiondoa hati, kuna vionjo na hoja zake zile za controversial.....sijaiona hiyo thread..... miandiko inaendana ile mbaya