Mungu akubariki saana Sana. Ulichokifanya Mungu atakiongeza hadi ushangae, Mungu akajibu haja ya moyo wako, akuponye na Magonjwa, Vita, Shida na taabu. Utakachogusa kikabarikiwe. Una Roho ya ajabu saana, wengine wanachaji watu hata Kwa kuomba Msaada tu