Janvansina
Member
- Nov 5, 2025
- 50
- 60
MADHARA
1. Kwanza kabisa Mafanikio ni bahati sio juhudi tu. Licha ya kupambana, juhudi Ila kuna vitu unavipata kwasababu ya bahati tu. Watu wangapi unaokutana nao kwa bahati tu na watu haawa kukuvusha kweny nyanja fulani za maisha. Inaweza wakawa sehemu kukupa michongo, mawazo au kukuanganisha na watu potential
Mhubiri 9:11
Nikarudi, na kuona chini ya jua, ya kwamba si wenye mbio washindao katika michezo, wala si walio hodari washindao vitani, wala si wenye hekima wapatao chakula, wala si watu wa ufahamu wapatao mali, wala wenye ustadi wapatao upendeleo; lakini wakati na bahati huwapata wote
Ukiosoma mstari huu unapaswa kuelewa bahati au upendeleo ni vitu ambavyo vipo lakini mara nyingi huja kupitia watu, lazima ujue watu ni mtaji kwenye maisha yetu. Ndoto za majini mahaba uzuia sana hizi baraka
Angalia hapo chini jinsi watu walivyo mtaji
ISAYA 43: 4
Kwa kuwa ulikuwa wa thamani machoni pangu, na mwenye kuheshimiwa, nami nimekupenda; kwa sababu hiyo nitatoa watu kwa ajili yako; na kabila za watu kwa ajili ya maisha yako.
Hivyo basi Wachawi au majini huzini na watu usiku sio kwasababu ya kupata starehe. Ni kwasababu ya kuchukua zile barak ulizonazo mtu katika ulimwengu wa rohoni. yaani muda wako na bahati ya kupokea kitu fulani umefika lakini hutaweza kunufaika labda kushindwa kukutana na watu sahihi au kuwa na tabia zisizofaa zitazokufaanya wewe upoteze watu wa muhimu
2. Kushindwa kusikia sauti ya mungu kwa njia ya ndoto au njia nyingine kwa wakristo wanaelewa.
Mfano
Niliwai kuota kwenda kufanya biashara eneo fulani kwa mtaji mdogo tu na huo ukawa mwanzo wa hatua katik maisha yangu. Lazima tukubali kwenye mafanikio halali mungu anahusika aslimia 100. Hivyo ndoto hizi za majini mahaba ukufnya uote ndoto nyingi zaidi zisizo na manufaa na pia kuota ndoto za uongo wakati mwengine
3. Kusumbuliwa na tamaa za ngono isivyo kawaida.
4. Kurudi nyuma kila mara baada ya kupiga hatua fulani ya kimaisha
5. Migororo isiyoisha ndani ya ndoa
6. Kushindwa kupata watoto kwa baadhi ya watu
7.kupata kipato kwa njia ngumu mno
8.Na Mambo mengine mengi tu
SULUHISHO
1. Soma neno mara kwa mara na kulitafakari
2. Funga angalau mara moja kwa wiki
3. Nenda ibadani
4. Chukua hatua pia ya kuzungumza na mchungaji wako