Usipoingia JF unajisikiaje?

je usipo tumia jamii forum unajisikiaje???

  • vizur

    Votes: 0 0.0%
  • vyote viwili

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    4

glass amo

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2017
Posts
3,854
Reaction score
4,693
Wakuu hope mko fine.

Yangu Leo n machache. Kama kichwa cha habar kinavyo eleza. binafsi hua nahisi kukosa kitu cha muhimu pindi inapo tokea sijapata nafas hata dakika moja ya kuperuzi humu. sjui kwa upande wako hua unajiskiaje? tushirikiane hapa kuujenga na kuutambua umuhimu waJamii forum katika maisha yetu ya kila siku...

haya sas twende wote

nawasilishaaaa
Davet Shunie Mzigua90 Hajar Mwifwa Bujibuji Mshana Jr Sakayo RRONDO
 
Hao uliowataja hapo wapelekwe sober house ya addiction ya JF maana ikitokea hawajaingia hata siku moja wanaumwa homa.

Ukimteka mzigua asitumie simu yake kwa siku au akupe bumunda kwa hiari basi utakuwa unawazia tu style atakayokupia bumunda maana itakuwa ni uhakika. Ahahaha!

Beware guys JF is addictive
 

hahahah.
mkuu utaniua kwa kucheka aiseee.
Mzigua90 njoo huku utuambie Kama haya madai yana ukweli wowote.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
JF ni Arosto kwangu mimi
Wewe ni Mlevi wa Kitu/Jambo gani?
 
Zamani ndio ilikuwa hivi. Ila kwa sasa Mshenga huwa nina masaa yangu ya kutumia jf.

Asubuhi nina muda wa kuingia na usiku nina muda wa kutoka jf nje ya hapo hata kuwe na kitu gani huwezi niona humu.

Ina maana sahivi hauna mahaba na jf kabisa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…