Naandika haya ikiwa nina ushawishi wa kurudiana na mwanake aliyenisaliti kwa mwanaume mwingine.
Muda si mrefu uliyopita niliomba ushauri kuhusu mwanamke aliyesilati na hatimaye kuweka ngumu kuondoka nyumbani..nashukuru kwa ushauri mlionishauri hayimaye niliweza kumrudisha kwao japo simu na sms zake za msamaa hazikomii. Ila mwanaume nimeshaweka msimamo simtaki!!
Ila kiukweli nisidanganye ni kwamba sa nyingine nafikiria kumrudisha napokuwa mpweke nikifikiria mapenzi aliyokuwa ananipa na mbaya zaidi nikiangalia nibomu navyopata kutoka kwa hawa wanawake wa mjini niliyowatafuta kwa ajili ya kuniliwaza.
Ila tena nikiwaza jinsi mwanaume mwingine aliyekuwa akimpumulia mwananke wangu nasita kumrudisha hasa nikifikiria huyo mwanaume alivyokuwa anamsifu mwanamke wangu alivyomkatikia.
Kwa kweli usipoangalia utarudi kule kule na utaoneka fala wa karne!!