Squidward
JF-Expert Member
- Jul 21, 2014
- 6,925
- 7,935
Haya jameni linapokuja suala la traffic data za blog yako naamini ungependa ziwe private mwingine asijue source yako kubwa ya traffic unayopata inatoka wapi. Kila kampuni ina mshindani wake na wewe kama blogger una mshindani wako ambaye usingependa baadhi ya data zako azione, so unafanya hivo ili uwe juu zaidi yake kwenye search engines. Ok sasa ni hivi kama ulikuwa unatumia google url shortener huku ukidhani kuwa alnalytics zake unaziona wewe pekeyako basi unajidangany ndugu yangu hizo data yeyote akitaka kuziona anytime atazipata tu ili ajue source yako kubwa ya traffic inatoka wapi then ajipange kisawasawa akupite.
Trick ipo ivi
Mfano
Google Short URL: https://goo.gl/NX9Jsd
Kuona Data zake: Google URL Shortener
Au ongezea kijumlisha kwa mbele yake Google URL Shortener
Na kwa Bitly
bitly.com/KUWANAMIMI
Ongezea kijumlisha kwa mbele
Bitly. The power of the link.
LIKE Niku ADD