Ni kweli ulichosema mkuu ukipata adui unaemmudu muombee dua...je?..wewe ukiwa unapitia magumu wao watakuombea dua??....hapo ndipo panapotufanya wengine tubadirike tulizaliwa tukiwa na roho nzuri kama ya mtume muhammad lakini leo kutokana na ya walimwengu tumekuwa na roho kama ya shetani