Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 5,136
- 5,655
Kila kitu dunian kina pande 2. Kama utashiba bhas Kuna ulikuwa na njaa. Kama ulizaliwa Kuna siku utakufa. Life is all about survival of the fittest. Wengine wafe na waliokuw fit waishi, tunatoa life opportunity to other generation. Unatakiwa upambane kuishi. Isome vizur hii concept ya competition kweny ecology ya viumbe n misituKILA MTU AMEUMBIWA KUFANIKIWA KWA NAMNA YAKE, KUFANIKIWA SIYO KUSHINDANA.
"Success is not competition"
Jamii yetu leo ni kama tumeaminishwa ili kufanikiwa sharti tushindane lakini Kanuni za uumbaji za asili hazioneshi umuhimu huo. Ni kama tumelipokea jambo ambalo tumelichukua kama imani katika maisha yetu lakini siyo kweli kuwa ni lazima kushindana ili kufanikiwa.
Tunapoingiza suala la kushindana "competitions" maana yake kuna anayeshinda na anayeshindwa lakini uumbaji haujawagawa watu katika makundi hayo. Uumbaji unatuonesha kuwa kila mmoja wetu ni mshindi wa aina yake ndiyo maana hayupo anayeweza kila kitu. Usichokiweza wewe anaweza mwingine na hii haimaanishi wewe siyo mshindi kwa sababu yapo uyawezayo haswaa.
Kila aliyeumbwa na Mungu amekuja Duniani kama mshindi. Vigezo vyote tunavyovitumia kuwagawa watu kama washindi au walioshindwa vina udhaifu mkubwa sana kwa sababu hayupo mshindi wa yote.
Kwa msingi huo "TUNAKAMILISHANA NA TUNATEGEMEANA" hayupo aliyekamilika kwa asilimia moja hata wale tunaowaona kama washindi. Tunapokamilishana wote kwa pamoja tunakuwa washindi ila kwa hakika kabisa hayupo mshindi mmoja peke yake.
Naandika andiko hili kwa sababu tupo wahanga wengi mno wa elimu hii potofu ya kuamini katika kushindana badala katika upekee na kukamilishana. Ni kama tumekubalianankuwa kila jambo sharti kushindana na kisha kupata makundi ya washindi na walioshindwa.
Tunachopaswa kujua kabla ya kushinda au kushindwa kinachotangulia ni kuamini tu. Kuamini katika kushindwa kunaruhusu ukubalifu wa kushindwa na ndivyo ilivyo. Halikadhalika, kushinda nako hutanguliwa na kuamini hivyo.
Akili ya Mwanadamu ina utata mkubwa sana katika kuamini. Kwa mfano hata kile unachokiamini sana katika maisha yako kikikutokea leo bado akili yako itatia mashaka. Swali la kujiuliza ni kwa nini tuendelee kukaa katika kuamini mafundisho haya potofu?..(don't waste your time)
Ushauri wangu, tujatibu kufanya kwa dhati (be committed) juu ya yale tuyafanyayo na kuacha kujikita katika kuamini kila tunachojifunza.
...................................................................................................................
Usimfundishe mwanao uongo uleule uliofundishwa.
Kila kitu dunian kina pande 2. Kama utashiba bhas Kuna ulikuwa na njaa. Kama ulizaliwa Kuna siku utakufa. Life is all about survival of the fittest. Wengine wafe na waliokuw fit waishi, tunatoa life opportunity to other generation. Unatakiwa upambane kuishi. Isome vizur hii concept ya competition kweny ecology ya viumbe n misitu
Kila kitu dunian kina pande 2. Kama utashiba bhas Kuna ulikuwa na njaa. Kama ulizaliwa Kuna siku utakufa. Life is all about survival of the fittest. Wengine wafe na waliokuw fit waishi, tunatoa life opportunity to other generation. Unatakiwa upambane kuishi. Isome vizur hii concept ya competition kweny ecology ya viumbe n misitu
Predators are not fit than preys and preys are not fit than predators.Predators Vs Preys…. Survival of the fittest.
Predators are not fit than preys and preys are not fit than predators.
Assume no preys at all......will predators gain that status of fitness?
Is it true that preys are eliminated because they are unfit..can you prove that.There will never be such a period that no preys, the less fit predator turns into a prey and gets eliminated…. that’s the law of nature.
There will never be such a period that no preys, the less fit predator turns into a prey and gets eliminated…. that’s the law of nature.
ah..ah..ah..upo wapi Mkuu Mimi nipo Mbogwe hapaWeee wacha tushindane ili mshindi aonekane niko geita kwa sasa mchezo mpaka sasa ni mbili bila....mimi 2 v/s wasukuma 0
Mkuu inawezekana kabisa adui ya mtu akawa ni yeye mwenyewe kutokana na mtazamo wake.Adui wa mtu ni mtu.
Weee wacha tushindane ili mshindi aonekane niko geita kwa sasa mchezo mpaka sasa ni mbili bila....mimi 2 v/s wasukuma 0
Mkuu mwisho wa siku suala la mshindi na mshindwa ni mtazamo tu ila hayupo anayeshindwa kila kitu au anayeweza kila kitu isipokuwa Mungu tu.Predetor na prey huwa hawaishi ila ubadilishana na kutokea apex predetor na predetor
Prey wakiisha mbugani Simba hura fisi na chui
Adui wa binaadam ni fikla zake mwenyewe
Success sio competition ila huwez kusaccess km hauko fit, suvivar of fittest
Ni kweli ulichosema mkuu ukipata adui unaemmudu muombee dua...je?..wewe ukiwa unapitia magumu wao watakuombea dua??....hapo ndipo panapotufanya wengine tubadirike tulizaliwa tukiwa na roho nzuri kama ya mtume muhammad lakini leo kutokana na ya walimwengu tumekuwa na roho kama ya shetaniKwahiyo mshindani wako ni Wasukuma wote!
Hapo umebwabwaja mlamu, choose your battle wisely…. ukipata adui unayemmudu daima muombee dua.
Nkwingwa....ulilomba kineheNi kweli ulichosema mkuu ukipata adui unaemmudu muombee dua...je?..wewe ukiwa unapitia magumu wao watakuombea dua??....hapo ndipo panapotufanya wengine tubadirike tulizaliwa tukiwa na roho nzuri kama ya mtume muhammad lakini leo kutokana na ya walimwengu tumekuwa na roho kama ya shetani