Usiolewe na mwanaume masikini

Baazi _ baadhi
 
Omba Mungu upate mwenye moyo wa upendo tuuu, awe masikini awe tajiri hawana maana, wote ni kizungumkuti tuu...na michepuko iko pale pale awe masikini awe tajiri...tena kuna kale kamsemo kanasema( wanaume waaminifu wote hawana pesa), ila sasa ngoja apate pesa ndiyo utajua yeye ni nani na ana tabia gani ambayo alikuficha...masikini naye anakeraaaa akipata pesa tu huyoo anaanza kukunyanyasa ...na tajiri nae anakeraaaaaa nakuona we huna pa kwenda sbb ana pesa ata ndg zake watasema umefata mali...lkn omba upate mtu mwenye moyo anayejua thamani yako ni nini...mana mwanaume akikupenda toka moyoni yani we unambuluza unavyotaka, haijalishi yuko na pesa au masikini, (hakuna mwanaume mbahili mbele ya mwanamke anayempenda kwa dhati)...kila la kheri.
 
The feeling is mutual... hata mimi siwezi oa mwamke asiye na mbele wala nyuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…