Coaster2015
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 2,608
- 2,736
Comments zako ulisema alichoandika ni sahihi kwa 100% !!, nawashauri wanawake, usikimbilie mwanamme mwenye pesa, tafuta mwanamme wa kukuoa ambae atakuheshimu wewe na wazazi wako, atakuthamini, mtu mwenye pesa atakufanyia kinyume cha hayo, sijui kwa nini wanawake hamjifunzi, mimi nilioa baada ya kumaliza masomo kwa maana hiyo sikua na pesa lakini mpaka hivi sasa zaidi ya miaka 20 sikuwahi kifikiria eti sijui mwanamke mwingine, nampenda na kumheshimu mke wanguNi kweli, kigezo cha mume mwema si pesa ila point niliyounga mkono ni kuwa mtu anapokuwa hana pesa anaoa mtu anayeweza kumu-afford.... Mtu anakuwa anatamani mwanamke aina ya Grace ila kwa kuwa Grace matawi ya juu na yeye hana pesa anaamua kumuoa mwajuma ambae hana makuu na siku zote atakuwa yuko na mwajuma ila mawazo yapo kwa Grace, siku akipata pesa za kuweza kuwa nae anaona yule mwajuma aliyemuoa hana maana tena. Sikatai wapo maskini anaooa kwa mapenzi lakini wapo ambao wanakuoa kwa sababu hawana jinsi ndio uwezo wao ulipoishia (hawa ndio wabaya sasa)
Miaka mingi ni miaka mingapi ??Bila kumumunya maneno mwanaume anatakiwa asiridhike na maisha ya kulelewa!
Mwanaume wajibu wake mkuu ni uwezo wa kutunza familia kwa kuihudumia mahitaji ya msingi chakula, mavazi na malazi.
Ikitokea iwe kwa kipindi cha mpito na siyo kwa miaka mingi!
Miaka mingi ni miaka mingapi ??
Hiyo namba 4 mbona haihusiani na mada husika ?, wewe unachanganya mambo, unasumbuliwa na wivu, mtu anaweza kutafuta kazi hata zidi ya miaka mitano, nchi yenyewe hii, hata kazi mbadala zina migogoro yake kwa mfano wakullima wa korosho, si umesikia mtu alipeleka korosho yake mwezi november mwaka jana mpaka leo hajalipwa, angekuwa ndio mume wako unafanyaje ?Nilitarajia hilo swali!
Haitarajiwi kuwa miaka mingi zaidi ya miwili mitatu kwa mfano.
Jibu lake ni kwamba nazani inategemea na mambo kadha wa kadha !
Mfano:
1. Je mke anafanya kazi? Je ni kazi rasmi au siyo?
2. Je kuna namna nyingine ya kupata msaada wa mahitaji ya msingi ? Mfano support toka kwa ndugu?
3. Je huyo mwanaume husika anaonesha nia na utayari wa kutafuta kazi yoyote halali itakayompa riziki?
4. Tabia na nyendo na swala la uaminifu wa huyo mwanaume unaridhisha?
Hiyo namba 4 mbona haihusiani na mada husika ?, wewe unachanganya mambo, unasumbuliwa na wivu, mtu anaweza kutafuta kazi hata zidi ya miaka mitano, nchi yenyewe hii, hata kazi mbadala zina migogoro yake kwa mfano wakullima wa korosho, si umesikia mtu alipeleka korosho yake mwezi november mwaka jana mpaka leo hajalipwa, angekuwa ndio mume wako unafanyaje ?
Umeongea sahihiUmasikini wa Nini? Wa sperm, wa upendo, wa uvumilivu, wa nguvu za kiume, wa kipato au wa Nini?
Umasikini wa kipato Ni rahisi Sana kuushinda hasa mkiwa mwapendana kwa dhati.
Vichwa viwili vitafanya Mambo makubwa.
Lakini mumeo akiwa ni tajiri wa mali na ni masikini wa upendo, utajuta kuzaliwa. Utanyanyaswa wewe, utadharaulika wewe, utatukanwa wewe na wazazi wako, Tena atakwambia kabisa hapa umefuata mali tu wewe.
Ushauri wangu ni huu. Kama unataka kuoa, muombe Mungu akupatie mwenzi wa kufanana naye, mwenye upendo na atakayeweza kukuvumilia katika yote.
Mkweli asiye mnafiki, mzandiki Wala mtu wa shirki