Tuttyfruity
JF-Expert Member
- Dec 3, 2017
- 2,414
- 6,391
Ni chai tamuu japo ya baridi sanaaGreen label tea+water+sugar+iliki+garlic+mihogo
Maana yake anarekebisha maoni na msimamo wake ktk mada yenye iliyokuwa na kichwa cha habari kama hicho aliyowahi kutoa zamani.Me sijaelewa, kwann umesema usioe mke masikini halafu chini ulichozungumzia na ushauri uliotoa vinakinzana na jina la uzi?!
Aisee unajua ifike wakati muwe mnaangalia mnavyopost sio kupost uzi na vitu vya kutunga tunga wengine humu ndani ni watu wazima na tupo hapa kuwashauri nyie akina bwana mdogo ambao siku hizi bila ushauri mnapotea sana
Naam, nakazia hapo Mkuu1. Usioe wala kuolewa na Mwanaume/ Mwanamke masikini au kwao masikini.
2. Usioe mwanamke asiye na bikra.
Ni hayo tuu.