Usioe mwanamke aliyeondoka kwa baba na mama yake na kwenda kupanga

jjs2017

JF-Expert Member
May 25, 2019
2,022
4,220
Tukiendelea na kufurahia ujio wa mwaka mpya 2023

Kwa wale Wanaume wenzangu ambao hawakupata nafasi ya kuhudhuria katika kikao cha wanaume kilicho fanyika alfajiri ya leo 01/01/2023.

Napenda kuwafahamisha kwamba katika kikao cha wanaume tumekubaliana;

Kwamba kama wanaume tumekubaliana kwa moyo mmoja hakuna kuoa mwanamke ambae ameondoka nyumbani kwao kwa Baba na Mama yake na kwenda kupanga huko mitaani iwe ni kwa sababu yeyote ile isipo kua tuu anaweza akafikiriwa kuolewa kama alienda kupanga kutokana na mazingira pamoja na aina ya kazi anayo ifanya nasio vinginevyo..

Nb::Mwanamke ambae hana wazazi wote wawili kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wake anatakiwa abaki ndani ya boma la ukoo/ familia / taasisi za kiuangalizi mpaka pale atakapo olewa na sio kuondoka na kwenda kupangisha mitaani na kama atakiuka hilo naye hatakiwi kuolewa.

Hayo ndio tuliyo kubaliana kama wanaume.
 

Ulivyoandika kwa Mamlaka utadhani ni Mtu wa maana kumbe hata mjumbe wa nyumba 10 hakujui
 
Nakuunga mkonyo na mikuu ndugu mheshimiwa.
 
Dogo unajua hata bei ya gesi wewe, na kwamba mtungi wa gesi unakaa siku ngapi?
 
Dogo unajua hata bei ya gesi wewe, na kwamba mtungi wa gesi unakaa siku ngapi?
Mtungi wa gesi unakaa kulingana na aina ya matumizi yako, kama una hela za mawazo utakaa sana kwa sababu kila siku utakua unawaza kuhesabu idadi ya siku gesi ilipo fikia , ila kama una uchumi imara hauta angaika kuhesabu unakaa siku ngapi , ukiisha unajaza tuu bila kumlalamikia mama watoto

Kuhusu bei ya gesi inategemea unataka ujazo gani
 

Na lazima uzi
 

Watu wana different views kwakweli. Wengine wanakubali waliopangisha sababu ni sign kwamba wanaweza kujitegemea ,hata ukiwanae ukielemewa she can take over.
Huku wengine wanaamini ni malaya sana..

Kila mwanaume ana different taste
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…