Mie sijaielewa mada ya mtoa mada mkuu.Yote ya yote tukimbizane na pesa wakuu🤔
Sina uhakika ila nafikiri shairi mwamba linaongelea siasa zetu za nchi ya kusadikika 🤔🤔Mie sijaielewa mada ya mtoa mada mkuu.
Hebu nirahisishie, sisi wengine Kiswahili tumekijulia ukubwani😁
Kumbe ni SIASA.Sina uhakika ila nafikiri shairi mwamba linaongelea siasa zetu za nchi ya kusadikika 🤔🤔
Sina uhakika mkuu😁Kumbe ni SIASA.
Mimi huko sipo.
😁😁Sina uhakika mkuu😁
kwa wengine pesa ni taa bila mwelekeo,Wanaonekana wameshika dunia, kumbe wanakimbia kivuli chao kwa hakika Kuku mweupe huonekana mzuri, lakini mbele ya mganga… huwa hana bahati. Pesa si lolote bila mkondo.Yote ya yote tukimbizane na pesa wakuu
Kutafuna upepo ni kazi ya yule asiyejua ladha, Maisha si kuhusu kiasi, ni kuhusu kiini. Wapo waliokusanya majumba, lakini roho zao hazina pa kukaa. Wapo waliopanda juu kwa maneno, lakini wakashushwa na ukimya wao wenyewe. Si kila atafunaye upepo yuko bure wengine wanafungua njia ya mawimbi mapya. Swali ni unatafuna kwa nini?Yote ni ubatili mtupu, Ni kama kutafuna upepo
Nimekuelewa mkuuAhhh, sio siasa ni fikra tunduizi!,burudika nayo mkuu kuwa na amani haipalii kooni
namaanisha tutagundua kuwa kelele tulizopiga zilikuwa nyimbo tu za kuchombeza za usingizi. Tulisikia, lakini hatukusikiliza. Tuliona, lakini tulifumba macho kwa makusudi. Wakati tunadhani tunacheza karata za ujanja, kumbe tulikuwa tunajichezea nafsi. Maisha hayaombi ruhusa yanatuandika kwa wino wa matendo yetu wenyewe.Hapo sentensi ya mwisho, funguka zaidi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 umenishinda tabiaUnaandika mafumbomafumbo unajifananisha na yesu Sio
Yote yalikuwepo na yatapitaKutafuna upepo ni kazi ya yule asiyejua ladha, Maisha si kuhusu kiasi, ni kuhusu kiini. Wapo waliokusanya majumba, lakini roho zao hazina pa kukaa. Wapo waliopanda juu kwa maneno, lakini wakashushwa na ukimya wao wenyewe. Si kila atafunaye upepo yuko bure wengine wanafungua njia ya mawimbi mapya. Swali ni unatafuna kwa nini?