Pole kwakuachwa [emoji41][emoji41][emoji41]
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha utaniBreakup is unhealthy!!
I remember when I got dumped, while I was on my way to pick my nephew at school. I came home with the wrong child[emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji88][emoji1019]
Hahahahaaaaaaa mbaaaaaf zanguuuuu uuuwiiiBreakup is unhealthy!!
I remember when I got dumped, while I was on my way to pick my nephew at school. I came home with the wrong child[emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji88][emoji1019]
Kutemwa kusikie tu kwa wengine mkuuπππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha utani
Breakup is unhealthy!!
I remember when I got dumped, while I was on my way to pick my nephew at school. I came home with the wrong child[emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji88][emoji1019]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu huyo mtoto uliwezaje kumrudishaBreakup is unhealthy!!
I remember when I got dumped, while I was on my way to pick my nephew at school. I came home with the wrong child[emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji88][emoji1019]
Mkuu acha kabisa, nakumbuka niliambiwa na sister nikamchukue nikasahau kwa sababu ya mawazo kibao, nakuja kukumbuka mda umekwisha pita wa kufuata watoto, nafika shuleni nikamkuta mtoto mmoja tu hajachukuliwa na wazazi, kibaya zaidi nilipokelewa na makelele ya teacher ananiambia muwe mnawahi kuchukua watoto wakibaki peke yao huwa wanalia, wakati namsikiliza teacher dogo akafungua mlango wa wa gari na kuchupa ndani, nafika kwa sister ananiuliza ni mtoto wa nani huyo, kumbe mtoto wa sister alirudi na jiraniπππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu huyo mtoto uliwezaje kumrudisha
[emoji23][emoji23][emoji23]kimbembe mtoto kumrudisha kwao ulianzajeMkuu acha kabisa, nakumbuka niliambiwa na sister nikamchukue nikasahau kwa sababu ya mawazo kibao, nakuja kukumbuka mda umekwisha pita wa kufuata watoto, nafika shuleni nikamkuta mtoto mmoja tu hajachukuliwa na wazazi, kibaya zaidi nilipokelewa na makelele ya teacher ananiambia muwe mnawahi kuchukua watoto wakibaki peke yao huwa wanalia, wakati namsikiliza teacher dogo akafungua mlango wa wa gari na kuchupa ndani, nafika kwa sister ananiuliza ni mtoto wa nani huyo, kumbe mtoto wa sister alirudi na jirani[emoji23][emoji23][emoji23]
Ilibidi nimrudishe school ndo nikakuta wazazi wake wamefika wanahaha πππ[emoji23][emoji23][emoji23]kimbembe mtoto kumrudisha kwao ulianzaje
Ilibidi nimrudishe school ndo nikakuta wazazi wake wamefika wanahaha [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa hiyo kila anayekuja kutuelimisha Kuhusu jambo fulani humu linakuwa limempata??. Kwanini unashindwa hata kupongeza mtu akiandika jambo la HEKIMA?.Pole kwakuachwa [emoji41][emoji41][emoji41]
HongeraKwa hiyo kila anayekuja kutuelimisha Kuhusu jambo fulani humu linakuwa limempata??. Kwanini unashindwa hata kupongeza mtu akiandika jambo la HEKIMA?.
πππ mkuu, mda huo mi nipo nipo tu, yaani watu wanaongea mi yanapita sikio hili yanatokea sikio lingine, mda huo mie kifua kimejaa maumivu na stress kibao, kila anayeongea namuona kero mbele yanguMbaka Sasa nawaza ulikua na mawazo gani........like na imagine [emoji23][emoji23][emoji23]
We jamaaaaaa....Leo umenitoa stress.