Usimwamini mtu yeyote, pia nahitaji ushauri

Omba ruhusa kazini nenda Kijiji husika kaione gari kama kweli inafanya kazi,ukifika ukimkuta lianzishe kwanini anakidanganya!

Kama hayupo mpigie mwambie aje site na ukikuta Kuna dereva mstopishe kwanza kufanya lolote Hadi jamaa arudi!!

Akupatie mwafaka was nini.kinaendelea,mwambie akupe million.kumi.usepe.la.sivyo.lipaki hadi mteja atakapopatikana!!
 
Pole sana Ila umefanya mistake kubwa hapo mtu wa kukusaidia ni huyo huyo aliewauzia Gari, cha kufanya ni kwenda kumripoti Polisi huyo tapeli uliemwamini alafu Shahidi ni huyo aliewauzia hilo Gari kwa kutumia maelezo yake aliyokwambia km ni kweli basi jamaa akibanwa atakulipa tu, usicheke nae tena vaa Sura ya Mbuzi
 
sawa kaka thanx
 
sawa mkuu nimekupata
 
"mbinguni ataenda nani, mimi hua nawaza ni watu wa aina hiyo,lakini motoni ni hao watukanaji"

Haya ya Mbinguni achana nayo
 
daah kweli
Ujifunza soma la maisha kwa gharama kubwa. Ninachoweza kukuambia ni kuwa wewe siyo mtu wa kwanza kufanyiwa hivyo, kwa hiyo usijione kama mjinga. Wengi tumekumbana na masaibu kama haya tena kutoka kwa ndugu achilia mbali huyo ni rafiki. Pamoja na kuwa utapata hasara (inavyoonekana) lakini hili ni somo la maisha ie. kwenye fedha usimwamini mtu yoyote. Andika hili. Pili achana kabisa na kitu kinachoitwa biashara ya ubia. Mtu mweusi kwenye biashara ya ubia ni mbwa koko, lazima akuume. Nimemaliza.
Cha kufanya: Ondoa aibu na huruma. Kusanya ushahidi wote halafu m-face jamaa uso kwa uso. Gari iuzwe na kila mtu achukuwe fedha yake.
 
Kwa kuongezea tafuta hata polisi uende nao.
Awe makini katika kuwashirikisha polisi. Wana kawaida ya kuwa upande wa atakayewapa fedha nyingi. Pengine ingekuwa vizuri aanze kwa kuwatumia marafiki wa karibu.
 


Hakuna cha kukushauri, wewe ni mtu wa hovyo, story zote hizo 12 m umekaa kupiga simu badala ya kwenda?
 
sawa sawa
 
sawa sawa
 
Mimi nipo tofauti kidogo kwenye business zangu nikifanya ubia au deal na mtu huwa Sina tamaa kwenye mgao..

Ujanja ujanja udhulumati utapeli uongo na uzandiki sio powaa

So kwenye Hilo inategemea na mtu kwanini? Watu hawapo real kwenye SoMo la sales & marketing nililo jifunza mtaa pesa ya marketing and sales ukilipwa fasta ingiza kwenye account ya ofisi usikae nayo mfukoni au kwenda nayo home..

Stand as a man mchane waziwazi na akikataa acha nae MAANA

Hasara roho pesa makaratasi..

karma is bitch

Tujifunze kua genuine & Real
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…