Uzi nzuri,lakini kwa kizazi cha Leo mhhh changamoto,we angalia tu jinsi ndoa nyingi zinavyovunjika,zingine kwa Sababu ndogo Sana,mtu Kama umepata mwenza wako na mnaelewana ni jambo la kumshukuru mungu kwa kweli.
Kwenu wamama wa humu maana kila Uzi humu ni mume wangu yuko hivi mara ananifanyia vile,halafu mnajifanya hamtaji majina,so what????msiwavue ngue waume zenu Na ninyi wakaka msiwavue nguo wake zenu pia