Uchafu wa masikioni, misikio inatoa nta kama mzinga wa nyuki ulioiva.
Mijino ya njano kama yule anayehubiri chuki pale Mwenge stendi na utangotango huku nanuka jasho kama beberu, pole mbili kwa mkewe.
Unapopiga mswaki, ulimi usafishwe.
Kuna wanaume wana chupi moja tu, ikifuliwa inaanikwa mbele ya feni....janga. Uanaume na uchafu ni mambo mawili tofauti.
Deep Kiss sio kujama mimate mdomoni mwako na kumnywesha mwenzio.
Kuna jamii fulani ya watu hufukiza udi kwenye mtaro, uchafu huu pia. Mtaro na unukie kwa harufu yake ya asili na sio kuua bacteria special kwa kemikali za udi.
NB: Sio kila chaka ni baya. Kama 'mama' anajua kutunza chaka kwa usafi, chaka lina utamu wake. Ni tamu sana kumuangalia nyoka akizama kwenye chaka na hatimaye kutokomea mtaroni. Kipara kinampendeza mwanaume.