Huwa ni hasira tu na hali ya kujihisi vibaya kutokana na yale ambayo waume wanayafanya hasa wakipata hela. Nina mfano wa ndugu yangu, namfahamu vizuri akipata hela anasafiri kwenda mikoani kwa michepuko yake na anatembelea kila sehemu ya starehe, anarudi hela zikimuisha, zen anakuja kuomba matumizi home, huwa naumia sana lakini siwezi kumwambia mkewe maana ni ngumu kuanza tu.
Hivyo wanaume ktk hili badilikeni, hivi mumeo anapata hela familia haijui hata zinapoishia mama na watoto wanahangaika, unajikuta mtu anaomba vitu visivyofaa. Badilikeni jamani.