HOJA Usimamizi wa Gereji Uimarishwe

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika

tutafikatu

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2011
Posts
3,426
Reaction score
4,779
Inasikitisha kuona gereji za magari zikifunguliwa holela kwenye maeneo ya makazi.

Toka Dar, Arusha, Mwanza, hadi Mbeya. Zinavunja kuta za majirani, zinatupa mafuta na taka ovyo, zinaleta kelele mbalimbali, zinaziba mitaro kama shimo la kutengenezea magari, zinaegesha magari barabarani na kuchafua mazingira.

Sheria zipo, lakini usimamizi wake unaonekana ni dhaifu. Watoto wetu watakaa wapi. Wasimamizi wamejazana ofisini wanaangalia Facebook, Youtube na Instagram.
 
Maeneo mengi ya wazi wamekodishwa na pesa wanayoitoa sijuwi inakwenda kwa nani?
Garage inaweza ikaanza kimzamza leo gari moja kesho kaja mwingine na garii
Lake,keshokutwa kaja fundi
Mwingine mara mtaa unageuka garage
Ila wakulaumiwa mbona wanajulikana

Ova
 
Viongozi wetu hakuna wanachoweza fanya kwa usahihi..kila kitu ni ovyo!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…