nyilaegenge Senior Member Joined Apr 13, 2014 Posts 198 Reaction score 105 Jun 8, 2014 #1 Nimeitwa kufanya usaili kwa majadiliano kwa kada ya afisa kilimo daraja la pili. najua humu pana wazoefu upande wa kilimo kwa kupitia ktk huo usaili. nijikite maeneo gani kujiandaa sina uzoefu na usaili.
Nimeitwa kufanya usaili kwa majadiliano kwa kada ya afisa kilimo daraja la pili. najua humu pana wazoefu upande wa kilimo kwa kupitia ktk huo usaili. nijikite maeneo gani kujiandaa sina uzoefu na usaili.
S Sangomwile JF-Expert Member Joined Aug 17, 2012 Posts 3,227 Reaction score 1,104 Jun 8, 2014 #2 Vuta subira watakuja.
NGARUKA JF-Expert Member Joined May 5, 2014 Posts 402 Reaction score 71 Jun 9, 2014 #3 naombeni msaada mniangalizie jina la LUKIKO category za afisa tarafa,kilimo na mifugo. pamoja waungwana.
naombeni msaada mniangalizie jina la LUKIKO category za afisa tarafa,kilimo na mifugo. pamoja waungwana.
U Undisputed Member Joined Nov 8, 2013 Posts 40 Reaction score 11 Jun 9, 2014 #4 Andika jina lote lukiko ukiandika halitokei hebu andika lote tukusaidie just now
NGARUKA JF-Expert Member Joined May 5, 2014 Posts 402 Reaction score 71 Jun 9, 2014 #5 jumanne mafuru Lukiko