Nisomeee..
Vya mbali mbalii vinafaa pia...aya nambieSogeza sikio nikunong'oneze
Shem jizoeze kujitegemea!
Kwanini usomewe?
Mi nauzunika ujue! Staki !
Nachelea usije ukapitiliza!
Inaanza "nisomee!"
itafata "ninyanyue!"
"nipeleke!"
"nilishe"
"nikune!"
Staki ,
komaa ujisomee!
kumbe kiswahili kimebadilika namna hii!
Nalog off
Nimekupata mkuu.Hicho ni cha ki BRN a.k.a divisheni Faivu.