Usikose kuwafuatilia watu hawa wanne watakaokutengenezea maarifa

Jul 14, 2021
25
26
Habari, tumaini langu mko powa, leo ningependa kushare na nyie watu wanne Kama ujawafollow basi nakushauli uwafollow na Kama umewafollow basi utaungana na me hiki nisemacho.

1). @Joelnanauka, ebana eeh huyu mtu mtu nakushauri mfollow ana mambo mengi sana ya kujifunza kwake kwenye huu ulimwengu ikiwa kibiashara, kiroho, kijamii na mambo mengine mengi Kama umemfollow basi toa ushuhuda kwa hiki nkisemacho ili asiyemfollow aelewe zaidi.
Joel-Nanauka.jpg

. 2).@chrissmauki, huyu pia Kama ujamfollow nakushauli mfollow Kuna vitu vingi utajifunza kupitia kwake huyu mtu kwenye mapenzi ndo kabez happy Kama mjuavyo mapenzi yana run dunia basi kajifunze upate alau amani ya moyo wako.

3).@nikkiwapili. kwenye sanaa ya kuimba ndo tulimtambua uyu mtu na Sasa ni mkuu wa wilaya ya kisarawe, kwa wanao mfatilia nyimbo zake bila shaka mnamuelewa Sasa usiishie tu kusikiza nyimbo zake mfollow kwenye mitandao yake ya kijamii Kuna madini anashusha uko sio mchezo.

4). Mh. Samia Hassani Suruhu.ni kiongozi wa nchi lazima tumuunge mkono yeye na serikali yake hatuna budi kumfollow tutakapo fanya ivyo tutakuwa pia tumetimiza lile agizo la Mungu la "Tueshimuni utawala'.. ao ndo wangu najua una wako pia sio mbaya ukashare na si ili tuendelee kujifunza zaidi. Asanten.
 
5.jooswahili
Huyu jamaa namfahamu personal,
Anaitwa jooswahili au ngamia mkuu, amekua akitoa mawazo na ushauri kuhusu maisha.

Screenshot_20210914-123420_Instagram.jpg
 
Habari, tumaini langu mko powa, leo ningependa kushare na nyie watu wanne Kama ujawafollow basi nakushauli uwafollow na Kama umewafollow basi utaungana na me hiki nisemacho.

1). @Joelnanauka, ebana eeh huyu mtu mtu nakushauri mfollow ana mambo mengi sana ya kujifunza kwake kwenye huu ulimwengu ikiwa kibiashara, kiroho, kijamii na mambo mengine mengi Kama umemfollow basi toa ushuhuda kwa hiki nkisemacho ili asiyemfollow aelewe zaidi.
View attachment 1936980

. 2).@chrissmauki, huyu pia Kama ujamfollow nakushauli mfollow Kuna vitu vingi utajifunza kupitia kwake huyu mtu kwenye mapenzi ndo kabez happy Kama mjuavyo mapenzi yana run dunia basi kajifunze upate alau amani ya moyo wako.

3).@nikkiwapili. kwenye sanaa ya kuimba ndo tulimtambua uyu mtu na Sasa ni mkuu wa wilaya ya kisarawe, kwa wanao mfatilia nyimbo zake bila shaka mnamuelewa Sasa usiishie tu kusikiza nyimbo zake mfollow kwenye mitandao yake ya kijamii Kuna madini anashusha uko sio mchezo.

4). Mh. Samia Hassani Suruhu.ni kiongozi wa nchi lazima tumuunge mkono yeye na serikali yake hatuna budi kumfollow tutakapo fanya ivyo tutakuwa pia tumetimiza lile agizo la Mungu la "Tueshimuni utawala'.. ao ndo wangu najua una wako pia sio mbaya ukashare na si ili tuendelee kujifunza zaidi. Asanten.
Uchaguzi umekaribia sasa mmeanza kampeni
 
Chris boya tu.Mshamba tu ukiacha ishu ya mahusiano ambayo nayo sio mshauri mzuri

Samia nchi kairudisha kwenye magenge ya kihuni naamini atakuwa ndo the worst president wa kwanza hapa bongo.

Nick anajua vitu vya kawaida sana hana vitu deep

Huyo jamaa mmoja ngoja nikamuangalie vizuri
 
Back
Top Bottom