Kama mtu anataka kujiua acha ajiue.
Tena akija kuomba ushauri mpe kamba, au vidonge, watu wamelala miezi mahospitalini wanapambana waishi, watu wapo maeneo ya vita tokea wadogo wanaomba waishi.
Halafu mjingamjinga mmoja anashindwa kukabili matatizo yanayohimilika anataka ajiue, stupid.
Kwahio hio comment haihusiani na alichokisema ama unamaanisha vipi?Anza andiko lako na hii topic mpya, mwenye Mada yeye ameona awapa moyo
Ungekuwa mwanafunzi wa social Work ukiandika hii kitu tu . Watakuambia katafite kitu cha kusoma.Kama mtu anataka kujiua acha ajiue.
Tena akija kuomba ushauri mpe kamba, au vidonge, watu wamelala miezi mahospitalini wanapambana waishi, watu wapo maeneo ya vita tokea wadogo wanaomba waishi.
Halafu mjingamjinga mmoja anashindwa kukabili matatizo yanayohimilika anataka ajiue, stupid.
Kuna muda nilipitia wakati mgumu nilipoteza pesa zote, halafu nikaugua dah nikawa nawaza kujimaliza, ila nikawa najiuliza kama nimepata bahati ya kuzaliwa nikiwa mwanadamu.Ungekuwa mwanafunzi wa social Work ukiandika hii kitu tu . Watakuambia katafite kitu cha kusoma.
Binadamu hawafanani
Hongera sana watu wanapita changamoto nyingi sana. Namna ya kuzikabili zinatofautiana kati ya mtu na mtu. Nakumbuka mm kuna wakati nilikuwa silali kabisa wala sili nikiamka nataka kulewa tu ili nisahau changamoto. Na ni changamoto ambazo zilisababishwa na mtu ambaye alipokuwa alikuwa hajui ninachopitiaKuna muda nilipitia wakati mgumu nilipoteza pesa zote, halafu nikaugua dah nikawa nawaza kujimaliza, ila nikawa najiuliza kama nimepata bahati ya kuzaliwa nikiwa mwanadamu.
Kuna sababu nikawa hivi, huenda kesho ikawa bora zaidi, iweje nijimalize huu ni usengerema nikapona kabisa sikupata tena wazo la vile mpaka leo.
Aisee kajitoa uhai?Yape maisha nafasi.... Anyway RIP mdau. Naipa familia pole kwa kukupoteza ππππ₯Ίπ₯Ίπ’π’π₯View attachment 3530488
Ninapopitia wakati mgumu sana huwa nina kauli mbili tu never give up ,if you are goin through the hell keep going and never give upChangamoto ni nyingi sana unazozipitia. Kuanzia kwenye familia yako ,kazini kwako na pia hata kwenye mahusiano yako.
Na pia labda una changamoto ya kiafya ya muda mrefu inayokutesa kiasi kwamba unatamani kujiua. Yape maisha nafasi .. Labda pengine kuna Mwanga mbeleni.
Pia ukosefu wa kipato cha uhakika, kazi na pia umaskini uliokithiri. Iambie tu nafsi yako nimeanguka ila Nitasimama tena.
Hata hali ya kisiasa inayoendelea humu tz tu inaweza kukufanya ujihisi kukata tamaa na haya maisha. Ila amini Mwanga upo "Lit Wicht".
Iambie nafsi yako "NITAINUKA NA KUSIMAMA TENA".
Utazame mwezi na nyota zake angani zipo nawe kwa kila hali iwe mvua au masika ,zipo nawe kila dhoruba na vipindi vya faraja
Suicide Ideation feelings zikatae.
Sote kwa Pamoja tutashinda.
View attachment 3325806