Usijenge nyumba haraka, anza na majirani!

Kitomai

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2009
Posts
1,139
Reaction score
366
Watu wengi wanaangalia bei ya kiwanja na location tu, lakini wanakosa kitu muhimu sana β€” majirani.

πŸ‘‰ Majirani wazuri = Amani, usalama na maisha ya furaha

πŸ‘‰ Majirani wabaya = Stress, kelele na majuto ya kudumu
Kabla hujaamua kujenga: βœ”οΈ Tembelea eneo nyakati tofauti
βœ”οΈ Angalia mazingira na aina ya watu wanaoishi hapo

βœ”οΈ Uliza taarifa kidogo kwa wakazi wa eneo

Kumbuka:
Nyumba unaweza kuibadilisha… lakini majirani huwezi kuwachagua baada ya kuhamia!

πŸ“ž Kwa ushauri wa maeneo mazuri na salama Dar es Salaam
Call/WhatsApp: 0784225000
Unatafuta kiwanja au nyumba? Nipo kukusaidia upate sehemu sahihi yenye mazingira bora.

 
Nyumba kama hiyo kujenga uswazi ni ufalaπŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…