Jamani nina mawazo, wazazi wangu wametuma ujumbe kupitia mdogo wangu kwamba nisirudi nyumbani bila mke. Sio kwamba sitaki kuoa,uwezo upo na nia ipo,tatizo tangu nimetendwa sina maandalizi wala hamu ya kuanza mahusiano mapya.Ushauri wakondugu
Wazazi wako wanakupenda sana mkuu na wameshaona udhaifu wako kwa wanawake na hali ilivyo wasije wakakusa kwa sababu ya matendo yako ya bandika bandua.heshima ya mme ana mke ni ndoa acha ubazaz kaa njia ilio sahihi.Alitendwa samson sembuse wewe au unaogopa matumizi? ni ushauri tu kama vp wapelekee shoga uone kama watamkubali
Jamani nina mawazo, wazazi wangu wametuma ujumbe kupitia mdogo wangu kwamba nisirudi nyumbani bila mke. Sio kwamba sitaki kuoa,uwezo upo na nia ipo,tatizo tangu nimetendwa sina maandalizi wala hamu ya kuanza mahusiano mapya.Ushauri wakondugu
nipo tabora, nina miezi mitano sijarudi nyumbani maana nipo kazini, sitaki kuanzisha mahusiano mapya kwa sababu nilitendwa vibaya hata wao wanajua vizuri
Tuishi usitumie kosa la mmoja aliyekutenda kuwahukumu wanawake wote, pengine tatizo ni wewe Mwenyewe kwa kutunza hasira ndani ya nafsi yako ndo maana imekuwa ngumu kwako kubadilika.
Wewe kama wewe unatakiwa uwe na maamuzi yako binafsi sio lazima kusikiliza kila wanachosema wazazi wako kumbuka na wao ni wanaadamu kama wewe pia, sio malaika