Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,221
- 2,425
Toleo jipya la update ya windows 11 24H2 imeripotiwa kuwa na changamoto na kusababisha Hdd au Ssd yako kufa. Ukifanya update ya windows Os yako utapoteza data zako muhimu ambazo ni muhimu.
Tangu Microsoft watumie Teknolojia ya Recall Ai kwenye windows 11, watu wengi wamekua wakikosoa kwa kusema imekua ikifuatilia na kuchukua taarifa zako bila wewe kujua.
Changamoto kubwa baada ya kufanya update
๐ Ukifanya update ya windows 11 kwenye toleo la 24H2 la Kb5063878 ambayo iliachiwa wiki iloyopita siku ya jumanne,
โ๏ธ kwanza Kompyuta inachelewa kuwaka
โ๏ธ intaneti inasumbua
โ๏ธ storage yako ya kuhifadhi vitu ina corrupt na kupoteza taarifa zako.
โ๏ธ Partition za storage zinakua unlocatted
โ๏ธ Kompyuta kuganda ganda (freeze or crash)
Watu wengi wanahimiza kuhamia kwenye mfumo uendeshaji wa Linux kutoka kwenye Windows Os11 kwa Masuala ya Security, Privacy, stability na control.