Acha kiburiHatujaskia ata
HahahahaAcha kiburi
mume ndo anachagua ila ni mpaka akubaliwe
SawaDaah, basi kama Kweli mnatupenda muwe mvipende na tunavyowachagulia
Nirekebishe mkuuHahaa yaan umejichanganya sana kwenye hii mada
Vizuri kama umekubal mchaguaji ni mume.mume ndo anachagua ila ni mpaka akubaliwe
Jibu hilo mkuuKwahiyo mumeo ndio alikuchagua ww
Kama ndio kimependwa?Hahahaha
Nna kiburi na makusudi ukichagua kibaya nakuchana hapo hapo
Umeanza lini kiburi akiHatujaskia ata
Yaan kila sku ntakuwa nakucheka[emoji1]Kama ndio kimependwa?
Aki si umesikiaKweli aki
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Umeanza lini kiburi aki
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ninacho cha chini chini kile
AhahahYaan kila sku ntakuwa nakucheka[emoji1]
[emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani wewe, takuchapa ujue
HatareeeeeAisee
Mwanamke asipokuchagua humpati hata kwa dawaNi waathirika kwa sababu wanachaguliwa. Yu geti mai pointi ??