Usidharau machaguo ya mkeo

Kukubali au kukataa ndo kuchagua kwenyewe huko mkuu
Ni mara chache utasikia mwanaume ameoa mke hasiyempenda unlike wanawake, wengi huolewa na watu wasiowapenda. Hapo inaonyesha kwamba wanawake wengi huchaguliwa ndio maana maandiko yanasema kazi ya mke ni kutii sio kupenda. Masuala ya kupenda kaachiwa mwanaume.
 
Sawa,,, kuoa/kuolewa na asiyempenda jua kuna sababu iliyomsukuma au hofu ya jambo fulani japo wanawake ni waathirika wakubwa
 
Hahaa yaan umejichanganya sana kwenye hii mada
 
ila wanaopenda ni wanawake, wanaume upendo wao ni wa muda tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…