Jamaa aliweka mtego chumban kwake.Panya aliona ule mtego akaenda kwa jogoo amsaidie kutoa mtego akakataa,so panya akaenda kwa mbuz naye akakataa,then panya akaenda kwa ng'ombe akamsaidie naye akakataa.after 2days nyoka akanasa ktk mtego so mwenye nyumba ktk kumnasua naye akang'wata akafa.so majiran kwa ajili ya msiba wakaamua kumchnja jogoo kwa wagen.siku ya pili,wagen wakajaa xo wakachnja mbuz.sku ya 3 wagen wakawa weng sana so ikabd wapke ng'ombe.xo n tatzo dogo lilicause matatizo kibao
Xo panya akasavaivi

Panya anaongea!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Hii ni joke ya zamadam wale tuliopitia visa vya Kalumekenge wataelewa.