Usichopenda kufanyiwa usimfanyie mwenzako

gluckkcom

JF-Expert Member
Jun 21, 2019
362
787
Miezi kadhaa iliyopita nilifanikiwa kupata manzi mmoja ya kishua flan hivii sio sanaa alitokea kunielewa sana kiac kwamba zawadi zikawa nying pesa na n.k kwa kua hali ya maisha yangu ni ya tia tia maji na safa kwa mtaa na dili za kuunga nikaona ni kama masihi amenishukia life lika anza kua poa

Nilijitahid kw kila hali kua mwema kwake ili kuepuka kumwagwa ILA KILICHO TOKEA ni yy kweny mitikac zake alikutana na mnyamwez kamtia swagga kakaaa huku na huku siku kamwita gheto kwake wakasex huku wanajirecod siku mbili mbele yule mwamba kawasambazia washkj zake kideo M nika kinasa hicho kideo kw kweli roho na nafsi zote ziliniuma sikumhuliza kitu chchte ila yeye mwenyew manz baada ya kupata hizo taarifa toka kwa rafk zke #akanichek na kunambia kilicho tokea na kuniomba Nimsameh Hivyo Nikamsamehe na Niliombwa Ushahuri wa Nn? afanye kwani alikua akiogpa sana wazaz au ndugu zake wasije onyeshwa hilo sinema Na yy mipango yk Ilikua ni kujiua ilikuepuka aibu hiyo Nilicho mshauri ni kwmb kiac cha fedha kama laki tatu kinaweza kusafisha Hali yote ya hewa Nikamfafanulia Juu ya hiyo ela

1 ni malipo kwa wahuni kwa ajili ya shughuli pa1 na michoro ya ramani za kufanikisha kumnasa Huyo mtu Na tukisha mpata Marinda yke yatatoka front of camera then video tutamkabid nae vile vile ambvyo amefnya nae afanyiwe kama kumpigia simu na kumchana fresh ilimrad Hali ya hewa #itulie kwa wote Na Huu ndy ukawa ushahuri bora kwake na kazi imefnyika

⚠shule Nilirun away so don't judge me juu ya hilo andiko langu maana kuna ma spelling checker humu
 
Kwani alibakwa?You are so stupid,huyu demu hakubakwa it was an agreement.Na huyu hapa huna demu she is a Whore.Utagombana na watu wangapi?huyo ni malaya amepigwa pumbu akakubali kurekodiwa unatarajia nini hapo?Kama umemfanyia mmwanaume mwenzako hivyo kwa sababu ya huyu demu believe me yote yatakurudia.
 
Vitendo vyte sio vya kiungwana why umsambazie mwenzako mambo kama hayo na unajua wazi huyo mtu yuko na wazaz na ndugu kama wewe kuona sifa kwamb umemt*mba wangap wamemt*mb ujamkuta bikra na walio anza awakufny vitendo kama hivyo kwa nn? ucjihulize vitu kaa hizo kwanza na cha ajabu huyo demu pozi za kujiona hata dharau #anaga kabisa yan
 
Miezi kadhaa iliyopita nilifanikiwa kupata manzi mmoja ya kishua flan hivii sio sanaa alitokea kunielewa sana kiac kwamba zawadi zikawa nying pesa na n.k kwa kua hali ya maisha yangu ni ya tia tia maji na safa kwa mtaa na dili za kuunga nikaona ni kama masihi amenishukia life lika anza kua poa
Nilijitahid kw kila hali kua mwema kwake ili kuepuka kumwagwa ILA KILICHO TOKEA ni yy kweny mitikac zake alikutana na mnyamwez kamtia swagga kakaaa huku na huku siku kamwita gheto kwake wakasex huku wanajirecod siku mbili mbele yule mwamba kawasambazia washkj zake kideo M nika kinasa hicho kideo kw kweli roho na nafsi zote ziliniuma sikumhuliza kitu chchte ila yeye mwenyew manz baada ya kupata hizo taarifa toka kwa rafk zke #akanichek na kunambia kilicho tokea na kuniomba Nimsameh Hivyo Nikamsamehe na Niliombwa Ushahuri wa Nn? afanye kwani alikua akiogpa sana wazaz au ndugu zake wasije onyeshwa hilo sinema Na yy mipango yk Ilikua ni kujiua ilikuepuka aibu hiyo Nilicho mshauri ni kwmb kiac cha fedha kama laki tatu kinaweza kusafisha Hali yote ya hewa Nikamfafanulia Juu ya hiyo ela
1 ni malipo kwa wahuni kwa ajili ya shughuli pa1 na michoro ya ramani za kufanikisha kumnasa Huyo mtu Na tukisha mpata Marinda yke yatatoka front of camera then video tutamkabid nae vile vile ambvyo amefnya nae afanyiwe kama kumpigia simu na kumchana fresh ilimrad Hali ya hewa #itulie kwa wote Na Huu ndy ukawa ushahuri bora kwake na kazi imefnyika

shule Nilirun away so don't judge me juu ya hilo andiko langu maana kuna ma spelling checker humu
Karma, dont wait till tomorrow...
 
Daah we jamaa umeyumba sana ni boya kwelikweli yote hayo ni kwa ajili ya huyo binti ambao alipanga na mshikaji isitoshe sio mkeo huyo binti

Yani umefanya mwanaume mwenzio alawitiwe kisa demu daah umefanya dhambi kubwa mnoo haha huo sio ujanja mkuu kama umeposti hapa tukuone mjanja nikwambie tu umeyumba umetenda zambi kubwa
 
Hizi pigo za kurecordiana sio pw ujue em jaribu tu kufikiria kama ni mdogo wako au dada yko Unasikia kwa washikaji zako kwamb kuna jamaa kamrecord video za utupu dada yko na anasambaza kwa maksudi tu sifa ili washkaj wa mwone mwamba na sio kuvujishwa kw bahat mbaya Utajisikiaje na nin utafnya
 
Back
Top Bottom