Usichokijua kuhusu jeshi..

Yote ni sababu ya ugumu wa maisha tu na si kingine
 
Ngoja Nimuulize Msanii Wa Bongo Fleva Ommy Dimpoz Nahisi Atakuwa Anawajua Vizuri Kwani Walimfanya Kitu Mbaya Wiki Iliyopita Hapo Lugalo Na Hana Hamu Nao!
kuna uwezekano wa kupata huo ubuyu mkuu wa ommy dimpz
 
Swala sio ugumu wa maisha,swala ni interest na uzalendo kama kila mtu angekimbia au angekataa kuingia jeshi ingekuaje!!!!! Jaribu kufikiria kwa mapana usikurupuke.
 
Wapambanaji wanaumia, ma boss wanakula nyota na kupanda cheo. Basi sawa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…