Usicheze na damu ya mtu! Kazi ya kuwapata wauaji wa Kamanda Barlow yawa rahisi kuliko ...........

Halafu manjagu huwa wanapenda sana kuuguza vidonda vya watu, ona sasa huyu kaumbuliwa...
 
Kweli mapenzi yanauwa. kamanda kwenda nyumba ndogo kuchojoa magwanda yote na manyota yanatundikwa kwenye kamba kisa demu. hivi kweli alisomeshwa na kodi za wazazi wetu. kweli mshahara wa zambi ni mbaya sana.
 
Ofcoz absolutely yes!
Yawezekana asiwe na ndiyo maana hii habari nimei'finalise kwamba ni ALLEGATION!
Tuviache vyombo husika vimalizie kazi .
Na kama si yeye basi serikali ijiandae kumlipa bln60 kwa kumdhalilisha.
 
Kweli mapenzi yanauwa. kamanda kwenda nyumba ndogo kuchojoa magwanda yote na manyota yanatundikwa kwenye kamba kisa demu. hivi kweli alisomeshwa na kodi za wazazi wetu. kweli mshahara wa zambi ni mbaya sana.
He he he!huyu si mjomba wako lakini au?
 
Na kama si yeye basi serikali ijiandae kumlipa bln60 kwa kumdhalilisha.

Katika kulikwepa hilo that's why utasikia mtuhumiwa jina kapuni!
Hawa waufanyao mchakato huu wamesomeshwa kazi yao, hua hawakurupuki ku'announce majina ya suspects w/out proper particular evidence!
Na ndiyo hata nami sijalitaja jina la huyo mshukiwa japo nalifahamu kwa ku'refar sababu za kiitelejensia na weledi .
 
Ni jambo la kijinga na kizamani sana kuuana sababu ya wanawake. Mbona wanawake kibao tu.? Hata hapa jf wapo kibao

The way unavyofikiri, si vile binadamu mwenzako anavyofikiri! Kuna baadhi ya binadamu wanauwezo wa kutunza kinyongo kwa muda mrefu sana, na ukiingia ktk no go area, then off you go!
 
Kweli mapenzi yanauwa. Kamanda kwenda nyumba ndogo kuchojoa magwanda yote na manyota yanatundikwa kwenye kamba kisa demu. hivi kweli alisomeshwa na kodi za wazazi wetu. kweli mshahara wa zambi ni mbaya sana.

....kisha anavua boxer,soksi,anazama msambweni.
Asubuhi kazini Mkali ka Pilipili.
HakyaMungu Majumba haya yangekuwa ya Vioo,Makauzu tu ndio wangemudu kutembea vifua mbele mitaani.
 
si umeona mkwe wangu,
lakini kwa kuwa Mungu hapendi unafiki, kayaweka peupeeee.

....kisha anavua boxer,soksi,anazama msambweni.
Asubuhi kazini Mkali ka Pilipili.
HakyaMungu Majumba haya yangekuwa ya Vioo,Makauzu tu ndio wangemudu kutembea vifua mbele mitaani.
 
No research.......ya fsmilia ya kamanda hujajui yaache
 
Kweli mapenzi yanauwa. kamanda kwenda nyumba ndogo kuchojoa magwanda yote na manyota yanatundikwa kwenye kamba kisa demu. hivi kweli alisomeshwa na kodi za wazazi wetu. kweli mshahara wa zambi ni mbaya sana.

Kumbe ukisomeshwa na kodi za wazazihutakiwi kufanya dhambi?kumbe we huna dhambi ndo mana bado hujapata mshara?asiye na dhambi awe wa kwanza.....
 
dah sijui ya mwangosi ni ya mbuzi maana hata sielewi wanaoua gizani wanapatikana upesi upesi walioua kwenye mwanga na watu wakiona hawapatikani.hongera uliyemuua barrow.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…