Usiamini Ada Elekezi Guidebooks za NACTE, Ada ni tofauti na unapofika Chuo: angalia mfano huu..

Evans-Arsenal

JF-Expert Member
Jan 10, 2016
868
1,385
Upoambiwa watu wanaacha Chuo ni kutokana na sababu nyingi tu mfano ni kwa ujinga huu..

Application form sasa baada ya CAS kutolewa ni mpaka 50,000/= mfano ni hapo chuoni..
Ada elekezi iliyoandikwa kwa hiki chuo kwenye Guidebook ya NacTe unavyoona ni Mil 3 lakn ukiangalia katika form yao unapoenda chuo kuchukua ni mpaka Mil 3.5 na kozi nyingine NacTe wamesema Mil 2.5 lakini ukifika unakuta tofauti mpaka Mil 2.8 sasa hii inamaanisha kwamba Kuwa makini na jipange kuchagua vyuo vyako vizuri usije ukailaumu serikari ya Mtukufu Dr. John Magufuri.

.
59db5fb9757c6af1be53ce83c8d74618.jpg
75a106bc243e0e6078cc17132f77ef76.jpg
bda6ec8e0df722c8412ac630709df833.jpg
4f6b39b14a4ea3c95c820aeaa7e21f2c.jpg
 
Back
Top Bottom