sanchez255 Senior Member Joined Jun 9, 2015 Posts 171 Reaction score 312 Apr 4, 2017 #1 Ukimuahidi mtu kumuoa, oaa.. Ukimuahidi kumjengea nyumba jengaa... Ukimuahidi kumnunulia gari nunuaa.. Usipofanya siku atageuka kuwa adui yako mkubwa sanaaa... Haya yalimkuta bashite
Ukimuahidi mtu kumuoa, oaa.. Ukimuahidi kumjengea nyumba jengaa... Ukimuahidi kumnunulia gari nunuaa.. Usipofanya siku atageuka kuwa adui yako mkubwa sanaaa... Haya yalimkuta bashite
Tajirimsomi JF-Expert Member Joined Jan 12, 2017 Posts 4,824 Reaction score 5,612 Apr 4, 2017 #2 Nikukumbatie grace watu wajue nazaa mimi nazaa, mwanaume asiyezaa wa nini bwana
luckyline JF-Expert Member Joined Aug 29, 2014 Posts 15,150 Reaction score 21,802 Apr 4, 2017 #3 Tajirimsomi said: Nikukumbatie grace watu wajue nazaa mimi nazaa, mwanaume asiyezaa wa nini bwana Click to expand... haya maneno ni ya mzee wa makombola kama sijakosea
Tajirimsomi said: Nikukumbatie grace watu wajue nazaa mimi nazaa, mwanaume asiyezaa wa nini bwana Click to expand... haya maneno ni ya mzee wa makombola kama sijakosea
MSAGA SUMU JF-Expert Member Joined May 25, 2015 Posts 6,721 Reaction score 21,959 Apr 4, 2017 #4 luckyline said: haya maneno ni ya mzee wa makombola kama sijakosea Click to expand... Uko sawasawa kabisa, Gwajima noma
luckyline said: haya maneno ni ya mzee wa makombola kama sijakosea Click to expand... Uko sawasawa kabisa, Gwajima noma
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,332 Reaction score 72,654 Apr 4, 2017 #5 Aisee kwa usawa huu vingine haviwezekani
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 21,158 Reaction score 48,359 Apr 5, 2017 #6 Ahadi nyingi Ni kama za ccm vile hazitekelezeki bwana........ Hata wao wanajua hilo.
Nyoka_mzee JF-Expert Member Joined Nov 26, 2016 Posts 3,695 Reaction score 5,548 Apr 5, 2017 #7 Unaweza mtimizia kila kitu na bado akawa adui kwako.. Haya mambo huwa hayana fomula kubwa omba mungu.. Yanayokuja mbeleni hakuna anayejua
Unaweza mtimizia kila kitu na bado akawa adui kwako.. Haya mambo huwa hayana fomula kubwa omba mungu.. Yanayokuja mbeleni hakuna anayejua