Hahaa chizi sana wewe " swala la performance " kwenye game " lina tegemea na mvuto wa mwanamke ".... Fahamu kuwa mwanamke unaye muona wewe mzuri kuna wengine wana muona wakawaida tu " kutokana na status aliyonayo .. so huwenda jamaa alimuona kuwa ni demu wa hovyo tu ' so akamtumia kutoa genye