Ha ha hili swali mie pia niliwahi kukiuliza na sijapata jibu,pia niliuliza hivi kwanini kujamba huwa kwa sauti kubwa na kujamba kwingine hutoi sauti kabisaWana JF, pengine baadhi ya wezangu suali langu wanaweza wakalichukulia kuwa mzaha, lakini ni muhimu kujuwa vitu vinavo sababishwa na afya au maradhi mwilini mwetu ukiwemo "USHUZI" kitendo hiki cha kujamba kila binadamu na baadhi ya wanyama wanacho, tafauti ni uchuzi unaonuka na unaonuka.
Suali sasa ni ushuzi unaonuka na usionuka ni dalili ya maradhi au afya?
ushuzi unaonuka kupindukia ni dalili za maradhi, minyoo, kwa mfano. aidha, kama una tatizo la mfumo wa uyeyushaji chakula pia ushuzi hunuka sana hasa kama choo ni shida. ukiwa mvivu kunya pia husababisha ushuzi kuwa si wa kimaadili kabisa. utasema umemeza nyoka. mwisho, ushuzi mbaya kabisa ni ule wa kimyakimya, yaani ule kama unasonya, mfyuuuuuuu. sidhani kama umepata mpinzani ule mpaka sasa.Wana JF, pengine baadhi ya wezangu suali langu wanaweza wakalichukulia kuwa mzaha, lakini ni muhimu kujuwa vitu vinavo sababishwa na afya au maradhi mwilini mwetu ukiwemo "USHUZI" kitendo hiki cha kujamba kila binadamu na baadhi ya wanyama wanacho, tafauti ni uchuzi unaonuka na unaonuka.
Suali sasa ni ushuzi unaonuka na usionuka ni dalili ya maradhi au afya?
Skuizi wavulana mmekua na roho ngumu sana, yaani bila haya unataka wanaume tujadili makudu yako..🤔☹️Wana JF, pengine baadhi ya wezangu suali langu wanaweza wakalichukulia kuwa mzaha, lakini ni muhimu kujuwa vitu vinavo sababishwa na afya au maradhi mwilini mwetu ukiwemo "USHUZI" kitendo hiki cha kujamba kila binadamu na baadhi ya wanyama wanacho, tafauti ni uchuzi unaonuka na unaonuka.
Suali sasa ni ushuzi unaonuka na usionuka ni dalili ya maradhi au afya?
Zamani tuliaminishwa wanaume hawajambi, na kweli nilikuwa sisikii.Skuizi wavulana mmekua na roho ngumu sana, yaani bila haya unataka wanaume tujadili makudu yako..
Inasikitisha sana mwali....😔Zamani tuliaminishwa wanaume hawajambi, na kweli nilikuwa sisikii.
Ila siku hizi naona tu wanaachia buuuuuuh!! Hata mbele za watu
Yani vijana wa siku hizi bana. Nakumbuka enzi zetu tulivyokuwa vijana miakacya 60 na sabin huko yani mzee akijamber mbele ya kadamnasi unawahi faster kujitokeza kudai ni wewe kuilinda heshima yake. Lakini siku hizi mzee akijamber madogo bila aibu ni wewee mzee thadayoSkuizi wavulana mmekua na roho ngumu sana, yaani bila haya unataka wanaume tujadili makudu yako..🤔☹️
Umeongea ushuzi mtupuMkuu we jiachie tu jamba vyovyote mbona huwa wanasema kutoa mishuzi aina yoyote ndiyo afya yenyewe🤷♂️
Kwa hiyo ulikuwa unawahi mashuzi ya wazee!!?Vij
Yani vijana wa siku hizi bana. Nakumbuka enzi zetu tulivyokuwa vijana miakacya 60 na sabin huko yani mzee akijamber mbele ya kadamnasi unawahi faster kujitokeza kudai ni wewe kuilinda heshima yake. Lakini sasa hivi mzee akijamber madogo bila aibu ni wewee mzee thadayo
Ndio mkuu. Hasa huyu mzee Thadayo nilimstahi sana mda mrefu hadi nikakosa uvumilivu aliponipiga fiksi na saund eti enzi zake akiwa kijana alisafiri sana ulaya Australia na Marekani nikamuuliza je unajua Jiografia? Akachekaaa na kunijibu bwana mdogo Jiografia tena, pale Jiografia nimeishi zaidi ya mwezi mmoja. Yani kabla hajamaliza Nilimaindi kichizi nikamuasha ngumi ya tumbo wakati bado anashangaa kinachoendelea akala buti kali la kalio na kumsukumizia mtaroni hukoKwa hiyo ulikuwa unawahi mashuzi ya wazee!!?
Wewe Mkerubi siku hizi umekuwa chizi. Rudi Bongo, acha kuosha vyombo hukoVij
Yani vijana wa siku hizi bana. Nakumbuka enzi zetu tulivyokuwa vijana miakacya 60 na sabin huko yani mzee akijamber mbele ya kadamnasi unawahi faster kujitokeza kudai ni wewe kuilinda heshima yake. Lakini sasa hivi mzee akijamber madogo bila aibu ni wewee mzee thadayo
Hata wewe mrembo huwa unajamba?Mkuu we jiachie tu jamba vyovyote mbona huwa wanasema kutoa mishuzi aina yoyote ndiyo afya yenyewe🤷♂️
Mkuu we jiachie tu jamba vyovyote mbona huwa wanasema kutoa mishuzi aina yoyote ndiyo afya yenyewe
Mkaldayo demu wangu mimi yeye ujamba perfume, anakunya keki na kukojoa juiceWewe Mkerubi siku hizi umekuwa chizi. Rudi Bongo, acha kuosha vyombo huko
Vibibi vya Ulaya hovyo tu, rudi Bongo ule vitu lainiMkaldayo demu wangu mimi yeye ujamba perfume, anakunya keki na kukojoa juice
Weee mijambo mijambo tu mkuu hainaga perfume ile😂😂Mkaldayo demu wangu mimi yeye ujamba perfume, anakunya keki na kukojoa juice
Nashindia makande ntakosaje mishuzi😂😂Hata wewe mrembo huwa unajamba?
You look so funny!Nashindia makande ntakosaje mishuzi