chivala
JF-Expert Member
- Apr 13, 2021
- 772
- 2,333
- Thread starter
- #41
Kanihadisia baba: wakati wa udogo wake alikua na rafiki wa mtoto wa KIBANIANI(hawali nyama) mtoto anapenda nyama, nampa nyama akila, hiyo nyama huko kwao akijamba tu ushuzi unaonuka, ndio hapo wazazi humtabua kuwa kala nyama na kuadhibiwa.Mleta mada harufu ya ushuzi hutegemea vyakula unavyokula. Ukiwa vegetarian usitegemee kutoa ushuzi unaonuka.
Walaji wa mayai, nyama nyekundu na maharage kuwa wanaongoza katika kinyang’anyiro cha harufu ya ushuzi.
Nikweli kuwa nyama utasababisha ushuzi kunuka!