Ushuzi unaonuka na usionuka, ni dalili ya afya au magonjwa?

Vij
Yani vijana wa siku hizi bana. Nakumbuka enzi zetu tulivyokuwa vijana miakacya 60 na sabin huko yani mzee akijamber mbele ya kadamnasi unawahi faster kujitokeza kudai ni wewe kuilinda heshima yake. Lakini siku hizi mzee akijamber madogo bila aibu ni wewee mzee thadayo
Hahahaha
 
Duh huo mkuyenge wako uko sawa kweli? Harufu ya ushuzi inavonuka vile unadindaje wewe dunia hii kila mtu na yake kweli
financial services inawezekana, baadhi ya wanyama USHUZI kwao ni zana ya kukabiliana na adui ili wapate riziki, mfano:myama NYEGERE yeye chakula chake ni ASALI basi ili apate ASALI, huwajambia nyuki na ushuzi wake wenye sumu, huwafanya nyuki kufa au kuzirai, ndio hapo anapata nafasi ya kula asali
FB_IMG_1627620816909.jpg
 
financial services inawezekana, baadhi ya wanyama USHUZI kwao ni zana ya kukabiliana na adui ili wapate riziki, mfano:myama NYEGERE yeye chakula chake ni ASALI basi ili apate ASALI, huwajambia nyuki na ushuzi wake wenye sumu, huwafanya nyuki kufa au kuzirai, ndio hapo anapata nafasi ya kula asaliView attachment 1873673
Huyu mnyama ushuzi wake😂😂😂 afu kwenye hiyo picha anachekelea🙌
 
Back
Top Bottom