Ushuzi unaonuka na usionuka, ni dalili ya afya au magonjwa?

chivala

JF-Expert Member
Apr 13, 2021
725
1,000
Wana JF, pengine baadhi ya wezangu suali langu wanaweza wakalichukulia kuwa mzaha, lakini ni muhimu kujuwa vitu vinavo sababishwa na afya au maradhi mwilini mwetu ukiwemo "USHUZI" kitendo hiki cha kujamba kila binadamu na baadhi ya wanyama wanacho, tafauti ni uchuzi unaonuka na unaonuka.
Suali sasa ni ushuzi unaonuka na usionuka ni dalili ya maradhi au afya?
 
fimboyaasali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,002
2,000

Ha ha hili swali mie pia niliwahi kukiuliza na sijapata jibu,pia niliuliza hivi kwanini kujamba huwa kwa sauti kubwa na kujamba kwingine hutoi sauti kabisa

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Mtafiti77

JF-Expert Member
Oct 31, 2011
1,439
2,000
Wana JF, pengine baadhi ya wezangu suali langu wanaweza wakalichukulia kuwa mzaha, lakini ni muhimu kujuwa vitu vinavo sababishwa na afya au maradhi mwilini mwetu ukiwemo "USHUZI" kitendo hiki cha kujamba kila binadamu na baadhi ya wanyama wanacho, tafauti ni uchuzi unaonuka na unaonuka.
Suali sasa ni ushuzi unaonuka na usionuka ni dalili ya maradhi au afya?
ushuzi unaonuka kupindukia ni dalili za maradhi, minyoo, kwa mfano. aidha, kama una tatizo la mfumo wa uyeyushaji chakula pia ushuzi hunuka sana hasa kama choo ni shida. ukiwa mvivu kunya pia husababisha ushuzi kuwa si wa kimaadili kabisa. utasema umemeza nyoka. mwisho, ushuzi mbaya kabisa ni ule wa kimyakimya, yaani ule kama unasonya, mfyuuuuuuu. sidhani kama umepata mpinzani ule mpaka sasa.

asante
 
Ushimen

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
28,966
2,000
Wana JF, pengine baadhi ya wezangu suali langu wanaweza wakalichukulia kuwa mzaha, lakini ni muhimu kujuwa vitu vinavo sababishwa na afya au maradhi mwilini mwetu ukiwemo "USHUZI" kitendo hiki cha kujamba kila binadamu na baadhi ya wanyama wanacho, tafauti ni uchuzi unaonuka na unaonuka.
Suali sasa ni ushuzi unaonuka na usionuka ni dalili ya maradhi au afya?
Skuizi wavulana mmekua na roho ngumu sana, yaani bila haya unataka wanaume tujadili makudu yako..🤔☹️
 
Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
6,993
2,000
Vij
Skuizi wavulana mmekua na roho ngumu sana, yaani bila haya unataka wanaume tujadili makudu yako..🤔☹️
Yani vijana wa siku hizi bana. Nakumbuka enzi zetu tulivyokuwa vijana miakacya 60 na sabin huko yani mzee akijamber mbele ya kadamnasi unawahi faster kujitokeza kudai ni wewe kuilinda heshima yake. Lakini siku hizi mzee akijamber madogo bila aibu ni wewee mzee thadayo
 
Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
6,993
2,000
Kwa hiyo ulikuwa unawahi mashuzi ya wazee!!?
Ndio mkuu. Hasa huyu mzee Thadayo nilimstahi sana mda mrefu hadi nikakosa uvumilivu aliponipiga fiksi na saund eti enzi zake akiwa kijana alisafiri sana ulaya Australia na Marekani nikamuuliza je unajua Jiografia? Akachekaaa na kunijibu bwana mdogo Jiografia tena, pale Jiografia nimeishi zaidi ya mwezi mmoja. Yani kabla hajamaliza Nilimaindi kichizi nikamuasha ngumi ya tumbo wakati bado anashangaa kinachoendelea akala buti kali la kalio na kumsukumizia mtaroni huko
 
platozoom

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
8,987
2,000
Vij
Yani vijana wa siku hizi bana. Nakumbuka enzi zetu tulivyokuwa vijana miakacya 60 na sabin huko yani mzee akijamber mbele ya kadamnasi unawahi faster kujitokeza kudai ni wewe kuilinda heshima yake. Lakini sasa hivi mzee akijamber madogo bila aibu ni wewee mzee thadayo
Wewe Mkerubi siku hizi umekuwa chizi. Rudi Bongo, acha kuosha vyombo huko
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom