Habari wana JF. Jamani ninataka kuagiza Coaster bus mwaka 1985. Naomba kuuliza kwa mwenye kujua je kuna excemption yeyote kwenye suala la uchakavu maana nimekuwa nasikia bus zina excemption. Pia CIF hii ya 7,220 ushuru wake umekaaje?
Customs value ya gari hilo ni USD 10,000.00 ambapo ushuru wake utasimama kwenye 7.8 tshs. Bei ulioyonunulia wao hawaitilii manani wanayo table yao ambapo hukokotoa bei za magari yanayoingizwa nchini.