Siku za ajabu
JF-Expert Member
- Dec 23, 2012
- 1,369
- 988
na wasioamini katika DINI ya kikristo waende wapi?
Pastor katunzi yupo vzr sana jamani mzee wa by force by power lazima kieleweke tu...love this pastor aiseeehh
Ndugu yangu usidanganywe, hakuna kitu hapo! Matatizo hayatatuliwi kwa naombi, maradhi hutibiwa kwa tiba sahihi sio maombi. Huyo ni mjanja tu.[emoji547]Sio usanii jamani pastor katunzi yupo vzr mnooooohhh Mimi ni mkatoliki lkn nimejikuta nimezamia kwa katunzi bana acha kabisa aiseeh...