USHUHUDA : Tiba ya nge aliyekuuma ni nge huyohuyo mwenyewe

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,553
Watu wengi tunajua ukali wa mdudu aitwaje nge. Uchungu wake si wa kitoto ! Si kwa mtoto wala mtu mzima. Either kamasi au chozi lazima likutoke tu.

Nge wa porini huwa weusi na wale w nyumbani huwa wana rangi ya kahawia fulani hivi inayopendeza.

Ukiumwa na nge fanya hivi:

Mkamate nge aliyekuuma . Muue na umkate mkia.

Pekecha mkia wake uwe unga halafu paka na usugue sehemu ulipoumwa na huyo nge. Maumivu yanaisha dakika sifuri hapohapo.

Mimi nilishajaribu na nikafanikiwa na kuprove.

Na wewe ukajaribu halafu ulete mrejesho hapa.
 
Duu jamaa ulitaka kuweka picha ya nge naona ukakosea file.unatuharibia saumu bana
 
Watu wengi tunajua ukali wa mdudu aitwaje nge. Uchungu wake si wa kitoto ! Si kwa mtoto wala mtu mzima. Either kamasi au chozi lazima likutoke tu.

Nge wa porini huwa weusi na wale w nyumbani huwa wana rangi ya kahawia fulani hivi inayopendeza.

Ukiumwa na nge fanya hivi:

Mkamate nge aliyekuuma . Muue na umkate mkia.

Pekecha mkia wake uwe unga halafu paka na usugue sehemu ulipoumwa na huyo nge. Maumivu yanaisha dakika sifuri hapohapo.

Mimi nilishajaribu na nikafanikiwa na kuprove.

Na wewe ukajaribu halafu ulete mrejesho hapa.
Hii ni tiba ya kiroho, kisayansi au kichawi?
 
Back
Top Bottom