Hapa utaweza kutofautisha kati ya single moms na walioko ktk ndoa. Kwa kujishaua…………………… ndio wenyewe sasa, wanajifanyaga kama vile mbona poa tu huku viroho vyao vikiugulia maumivu.
Yaani mtu ulikuwa unaishi kwenye ndoa yako fresh bila shida, umeleta upuuzi ukatimliwa, unaishi maisha hayana muelekeo bado kuna nungayembe linakuja na coment, eti mbona kuna wanawake wanaishi bila waume na wako poa tu.......ptuuuuuu! (unashadadia upuuzi)