Ushoga na madawa ya kulevya ni vitu viwili visivyo zuilika kwa namba yeyote:_
1. Asilimia kubwa wahusika ni
(a)matajiri nikiwa na maana watumiaji wa madawa ya kulevya na wamiliki au wauzaji wengi wao ni majiri(well off)
(b) wanaojiusisha na mapenzi ya jinsia moja kwa upande wa wanaume na wanawake wengi ni matajiri (well off)
2.Asilimia kubwa ni watu maharufu tena baadhi yao ni viongozi wa kidini, siasa, wasanii, na wengineo.
3.Asilimia kubwa sheria inawatetea hii ni kwa upande wa mashoga nchi nyingi sheria inawalinda.