Head teacher
JF-Expert Member
- Mar 10, 2012
- 1,796
- 413
Baada ya ushindi wa awamu ya pili, ni wazi sasa rais mteule Obama, atakuwa huru kushughulikia mgogoro wa siraha za nyuklia na siasa hasimu za Iran dhidi ya Israel na mataifa ya magharibi. Obama ambaye amefanikiwa katika vita yake ya kuteketeza magaidi duniani baada ya kumsambaratisha muasisi na mfadhili wa al qaeda, marehemu Osama, sasa baada ya uchaguzi huu bila shaka ataingia kwa miguu yote Syria na hatimaye Irani. Itakumbukwa Obama aliizuia Israel kuivamia kijeshi Iran kwani uvamizi huo kwa vyovyote ungehusishwa na Obama na kupelekea kuangushwa katika uchaguzi mkuu wa urais U.S.A.
Huu ni muda wa kuifuta Iran katika ramani ya dunia, kwani adui muwahi.
Hujui chochote kuhusu msimamo wa Obama mashariki kati. Wewe endelea na porojo za kibongo.

Nilijua utatokea tu. Kaeni tayari, mjiandae kuandamana anaanza na Syria
Hebu rudia tena!! "muda wa kuifuta IRAN", you must be dreaming, stop those day dreams of yours. IRAN ipo na itaendelea kuwepo penda usipende. Labda kama ingekuwa marekani ndio aliyeumba hii dunia, hilo lingewezekana. Huna lolote unalolijua kuhusu IRAN zaidi ya matango pori ya chuki uliyolishwa na kupelekea kuamini kila analosema mmarekani na muisrael. POLEEE.
MKUU KUMBE HUKUFUATILIA MCHAKATO MZIMA WA SIASA, YAANI UMELOPOKA VIBAYA SANA...MPAKA NAJISIKIA AIBU.
WALICHOPINGANA NA NETANYAHU..a.k.a BIBI ilikua nini, sera za obama ni no war, no boot on ground, no pre-emptive attack on Iran. Kwataharifa yako watu wamempa kura especially vijana coz hawataki kutumia billions of dollar to pay the so called military complex to start another stupidy war like thug bush and his buddies cheney and don.
N apia hii ni fundisho kwa Israel Robby, maana netanyahu alipo kuja UN Obama alimkimbia na kumuonyesha kabisa anapinga sera za delusion alizonazo netanyahu....
Kwakifupi no war with Iran, and no boot on ground in Syria, aliisha muahidi Putin kuwa atakuwa Flexible second term na putin this week kamfukuza waziri wa ulinzi.
NOW THE WORLD IS BETTER PLACE FOR BOTH OF US, EXPECT KWA AKINA PONDAMALI
Hujui chochote kuhusu msimamo wa Obama mashariki kati. Wewe endelea na porojo za kibongo.
Jamaa kakurupuka. Hii thread ilitakiwa aitoe iwapo Mitt Romney angeshinda
Ahaa kumbe aliyemuua Osama na Gaddafi ni Romney...!!
Yani hata mimi nashangaa Obama aseme hataki vita afu mara aende vitani....Isreal walidhani Romney atashinda sasa wanataka kumuangusha yule bibi Nyatahu kila njia ili uhusiana wa Isreal na Marekani uwe imara.Anasema the decades of wars IS OVER.
Watu wanashangilia waaaaaaaa.