Boxing kiutaalamu wa kimchezo na kanuni zinazouongoza mchezo huu Maymoney kashinda, ila kama zile ngumi zetu za tandale kwa tumbo hadi Buguruni kwa Mnyamani basi Pacman kashinda
Ngumu kumuelewa mayweather kama huangalii akili anayoitumia ulingoni,punch zake nyingi zinafika na ndio point ila yeye anajilinda mno,kama leo pacquiao karusha ngumi nyingi na kushambulia ila chache mno ndo zimempiha mayweather ila za mayweather nyingi zimetua na ameshinfa round nyingi kuliko pacquiao.
Ukiangalia juu juu utaona kabebwa ila kiutaalam huu ni ushindi wa waza kabida
Pacquiao Yupo live ESPN right now in a press conference na kwa maneno yake mwenyewe anakiri kuwa amepigwa kihalali sasa sijui mnataka nini.
Mfilipino kazi yake ni kuchoma viazi na si boxing
Angalieni in slow motion ndio mtajua why Floyd had won
Team Mayweather
48-0
Mkuu lakini unajua point zinapatikana vipi kwenye nchezo wa ngumi?
no. ngapi hiyo channel dstv??
Tumewashuhudia Kina Muhamad Ali,Mike Tyson Leo Hii Mfilipino Aje Asumbue Ulimwengu Hahaha Hawa Huy Mnegro Ambae Ni Hatari Ni Mwenzetu Wa Damu Kabisa,hongera Sana Mayweather Kuna Najua Kuna Waswahili Wanadai Umependelewa"WHEN GOD SAY YES NO BODY CAN STOP"
Kapendelewa sana tu....